Psalms 37:39-40


39 aWokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana,
yeye ni ngome yao wakati wa shida.

40 b Bwana huwasaidia na kuwaokoa,
huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi,
kwa maana wanamkimbilia.
Copyright information for SwhKC